.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 26 Februari 2018

RAIS MHE.DKT JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA KIGANGO CHA MLIMANI (PAROKIA TEULE YA MLIMANI)LILILOPO WILAYANI CHATO GEITA.FEBRUARI 25,2018.

Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akishiriki Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita Februari 25, 2018.
Rais Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akipiga makofi baada ya mahubiri kutoka kwa Padre Alex Bulandi wakati wa Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita Februari 25, 2018.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia waumini wa kanisa hilo mara baada ya kukaribishwa na Padre Alex Bulandi wakati wa Ibada ya misa Takatifu katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari 25, 2018.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru Padre Alex Bulandi baada ya kusalimia wakati wa Ibada ya misa Takatifu iliyofanyika katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari 25,2018.
Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Chato Mhe.Medradi Kalemani akiwasalimia waumini wa kanisa wakati wa Ibada ya misa Takatifu iliyofanyika katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari 25,2018.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Padre Alex Bulandi baada ya Ibada ya misa Takatifu iliyofanyika katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari 25,2018.
Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Nishati amabaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mhe. Medrad Kalemani mara baada ya Ibada ya misa Takatifu iliyofanyika katika kanisa la kigango cha Mlimani (Parokia teule ya mlimani)lililopo Wilayani Chato Geita.Februari 25,2018. PICHA NA IKULU.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni