WAZIRI MHAGAM AKITETA NA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi, Bungeni mjini Dodoma Februari 8, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni