Jumanne, 27 Februari 2018
WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA CHUO CHA WALIMU KITANGALI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Dkt Leonard Akwilapo, wakati alipo kagua mradi wa ujenzi wa chuo cha walimu Kitangali, uliopo katika Kata ya Maputi, Wilayani Newala, Februari 27, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo ya mradi wa ujenzi wa chuo cha walimu Kitangali na Mshauri wa mradi, Benson Mwemezi, wakati akikagua mradi huo uliopo katika Kata ya Maputi, Wilayani Newala, Februari 27, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni