.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 9 Desemba 2013

BUNGE LA AFRIKA KUSINI LAKAA KIKAO MAALUM CHA KUMUENZI MANDELA


Bunge la Afrika Kusini limekaa kikao maalum kilichorushwa moja kwa moja Jijini Cape Town, kilichoitishwa kwa ajili ya kutoa heshima kwa mambo aliyoyafanya aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela.

Kikao hicho ni cha kwanza kwa wiki hi nzima ya matukio ya kumkumbuka na kumuenzi mpigania haki za binadamua huyo aliyefariki dunia Desemba 5, ambaye manzishi yake yamepangwa kufanyika Desemba 15.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni