Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NBC na familia zao wakipata mlo wa asubuhi wakati wa sherehe za Siku ya Wanafamilia wa NBC jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wafanyakazi na wanafamilia wa NBC wakichuana katika mchezo wa soka ili kumpata mshindi katika hafla hiyo leo.
Hapa wakionyesha umahiri wa kucheza mpira wa kikapu katika sherehe hizo jijini humo leo.
Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara wakifurahia kuogelea ndani ya bwawa la kuogelea katika hoteli hjiyo jijini Dar es Salaam.
Kulikuwa na aina mbalimbali za vyakula kukidhi haja ya kila mmoja aliyehudhuria sherehe ya Siku ya Wanafamilia wa NBC jijini Dar es Salaam leo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni