Mchezaji machachari na mtukutu Mario
Balotelli ameifungia AC Milan mabao mawili na kuisaidia timu yake
kuambulia sare ya mabao 2-2 dhidi ya Livorno katika mchezo wa Ligi
Kuu ya Italia.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Italia,
aliipatia AC Milan bao la kwanza katika dakika ya 7 kufuatia pasi ya
Kaka, kabla ya Luca Siligardi kusawazisha bao hilo mnamo dakika ya 26.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni