Vikosi vya jeshi la Ufaransa vimefika
katika mji wa Bossangoa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, ambao
umechafuka kutokana na mapigano ya jamii zinazoishi mji huo.
Ufaransa imepeleka kikosi cha wanajeshi
1,600 kusaidi kumaliza machafuko hayo yaliyouwa watu 400 katika nchi
hiyo, ambayo pia vikosi vya Umoja wa Afrika vipo kulinda amani.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni