.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 13 Machi 2014

WAZIRI WA ELIMU KENYA AGOMA KUJIUZULU KUHUSIANA NA TENDA TATA YA LAPTOP


Waziri wa Elimu nchini Kenya Jacob Kaimenyi amesema hatojiuzulu kama inavyoshinikizwa na wabunge kutokana na kuhusika na tenda ya ununuzi wa laptop kwa wanafunzi wa shule yenye mgogoro.

Akiongea na vyombo vya habari leo Jijini Nairobi Kaimenyi amesema hakuwa na shaka yoyote kuhusiana na tenda hiyo iliyopewa kampuni ya India ambayo imebainika haina uwezo wa fedha.

Kampuni hiyo ya India ya Olive Telecommunications, ilipatiwa kimakosa tenda ya laptop yenye thamani ya shilingi bilioni 26.4 za Kenya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni