.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 20 Mei 2014

BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MILIONI 10 KWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA KIBOSHO

Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari Kibosho, Mhandisi Aloyce Peter Mushi akizungumza wakati wa hafla ya mahafali ya Kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Kibosho. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizindua jengo la mahabara ya Shule ya Sekondari Kibosho, wakati wa mahafali ya 30 ya kidato cha sita yaliyofanyika Mkoani Kilimanjaro. Kushoto ni Mkuu wa Shule hiyo, sista Anna na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya shule hiyo, Mhandisi Aloyce Peter Mushi. Benki ya CRDB ilitoa mchango wa shs. milioni 5 kwa ajili ya shule hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akizindua gazeti la shule. Kushoto ni Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kibosho, Sista Anna na Mwenyekiti wa Bodi ya Shule, Mhandisi Aloyce Peter Mushi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akikata keki wakati wa mahafali hayo.
Baadhi ya wahitimu wa Kidato cha Sita wakiimba ngojera wakati wa sherehe za mahafali ya kidato cha sita.
                                                                 Shule ya Serkondari ya Kibosho.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni