Mchezaji nyota wa zamani wa Brazil,
Pele amesema anahofia maandamano mengi yanayofanyika sasa nchini humo
yanaweza kuathiri Kombe la Dunia.
Maelfu ya wananchi wa Brazili
wamekuwa wakiandamana barabarani kupinga gharama kubwa zilizotumika
kuwa mwenyeji wa michuano hiyo.
Pele amesema anaguswa na kilio cha
waandamanaji, lakini hali hiyo itawafanya wageni wengi kuhairisha
safari za kuja katika Kombe la Dunia.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni