Mmoja wa wasanii wa kundi la “Mpoto Theater”akigawa vipeperushi kwa Mariam Khamis vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo linalowasumbua wanawake kuwa linatibika kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani.
Jumamosi, 24 Mei 2014
CCBRT, VODACOM FOUNDATION NA UNFPA KUSAIDIA KAMPENI YA KUKUZA UELEWA WA JAMII WA KUPAMBANA NA FISTULA
Baadhi ya wakazi wa Tandika sokoni jijini Dar es Salaam,wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo linalowasumbua wanawake kuwa linatibika kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni