Timu ya Real Madrid imetumia kiasi
cha paundi milioni 999 tangu washinde mara ya mwisho Ligi ya Klabu
Bingwa Ulaya mwaka 2002.
***
Homa ya Fainali ya Ligi ya Klabu
Bingwa Ulaya imezidi kupanda wakati Real Madrid itakapo shuka dimbani
kuchuana na Atletico Madrid kuwania kutwaa kombe hilo huko Lisbon.
Hii ni mara ya kwanza kwa timu za
mji mmoja kukutana kwenye fainali hizo tangu miaka 59 kupita katika
historia za ligi hiyo.
Gareth Bale aliipiku rekodi ya
Ronaldo baada ya kununuliwa kwa uhamisho wa paundi milioni 86.
Madrid ilitumia kitita cha paundi
milioni 80 kumtwaa Cristiano Ronaldo mwaka 2009 kutoka Manchester United.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni