.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 27 Mei 2014

CHUI AGEUZIWA KIBAO NA NYUMBU

 Nyumbu akimkimbiza Chui katika mbuga ya wanyama ya Maasai Mara nchini Kenya. Chui huyu alikuwa mawindoni akimuwinda Nyumbu huyu kabla ya kibao kugeuka.
 Chui akiwa hana ujanja zaidi ya kitoweo chake " Nyumbu huyu " kumbadilikia na kumkimbiza.
Mmmh hali ngumu!! Chui akichanja mbuga baada ya kuzidiwa nguvu na Nyumbu huyu ambaye alikuwa akimuwinda ili awe kitoweo chake lakini akajikuta akigeuziwa kibao.
Duh nimemkosa!! Chui huyu akiwa hoi kalala chini akimuangalia kwa matamanio Nyumbu ( hayupo pichani ) baada ya Nyumbu huyo kumbadilikia na kuanza kumkimbiza yeye mwenywe.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni