Jeshi la Nigeria limesema linafahamu sehemu ambayo zaidi ya wasichana 200 wanashikiliwa na kundi la kigaidi la Boko Haramu waliotekwa toka mwezi uliopita, lakini hawatatumia nguvu kwenda kuwakomboa ili kuepuka maafa zaidi kutokea.
Mkuu wa jeshi nchini Nigeria, Air Marshal Alex Badesh amesema jana kuwa, kutumia nguvu kubwa kunaweza kuwaua wasichana wenyewe waliotekwa na kundi hilo.
Badesh alisema kuwa, taarifa nzuri kwa wazazi na wanafunzi hao ni kuwa wamegundua ni wapi wanashikiliwa mateka wasichana hao, lakini hawawezi kupataja kwasasa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni