Watu 17 wamefariki dunia katika kijiji kimoja cha Alagarno kilichopo Kaskazini Mashariki mwa Nigeria, karibu kabisa na kijiji cha Chibok walipotekwa nyara wasichana zaidi ya 200 na kundi la Boko Haramu.
Shambulio hilo limefanywa na kikundi hicho cha kigaidi cha Boko Haramu, ikiwa ni siku moja tu kupita tangu watu 118 kuuawa katika mashambulio mawili ya bomu yaliyokuwa yametegwa katika magari katika mji Josi huko Nigeria.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni