Dr. Salman Hussain kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Hifadhi ya Mazingira akiendesha warsha ya Maandalizi ya Mradi wa kuthaminisha rasilimali za Mifumo ya Analojia na Bioanuai kwa wadau wa Mazingira kutoka taasisi na asasi zinazojishughulisha na hifadhi ya mazingira nchini. Warsha hiyo ya siku mbili imeratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais Idara ya Mazingira kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Hifadhi ya Mazingira.
Sehemu ya washiriki kutoka taasisi na asasi zinazojishughulisha na hifadhi ya mazingira nchini wakifuatilia mada katika warsha ya Maandalizi ya Mradi wa kuthaminisha rasilimali za Mifumo ya Analojia na Bioanuai kwa wadau wa Mazingira kutoka taasisi na asasi zinazojishughulisha na hifadhi ya mazingira nchini. Warsha hiyo ya siku mbili inafanyika katika Hotel ya Peacock jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni