.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 28 Mei 2014

TIMU YA TOTTENHAM HOTSPUR IMEMTANGAZA MAURICIO POCHETTINO KUWA KOCHA WAO MPYA

Timu ya Tottenham Hotspur imemteua Mauricio Pochettino kuwa kocha wao mpya na kumpatia mkataba wa miaka mitano.


Kocha huyo raia wa Argentina alijiuzulu kuinoa Southampton baada ya kuiongoza vyema kwa kipindi cha miezi 18.

Ponchettino anakuwa kocha wa 10 wa Tottenham tangu mwaka 2001 na anachukua mikoba ya Tim Sherwood ambaye alifukuzwa kazi Mei 13.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni