Shirika la Umoja wa Mataifa la
Kuhudumia Watoto UNICEF, limesema watoto 200,000 huenda wakafariki
dunia nchini Somalia kwa njaa iwapo hazitochangishwa fedha zaidi za
kuisaidia nchi hiyo iliyogubikwa na machafuko.
Msemaji wa UNICEF Christophe Boulierac
amesema iwapo fedha hazitopatikana itawapidi wasitishe utoaji huduma
za afya na uokoaji maisha ya wanaozitoa kwa watoto nchini Somalia.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni