Yaya Toure amechochea gumzo la
kuondoka Manchester City baada ya kusema hajajua atachezea timu gani
katika msimu ujao.
Wakala wa kiungo huyo Dimitri Seluk
ameeleza kuwa anaweza kuondoka Manchester City hiyo kutokana na
wamiliki wa klabu hiyo kutoonyesha kumuheshimu.
Kwa sasa Toure ameeleza kuwa kila
kitu kipo wazi kuhusiana na hatma yake.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni