.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 25 Januari 2015

AFCON 2015, CAMEROON NA GUINEA HAKUNA MBABE

Cameroon na Guinea zimetoka uwanjani zikiwa zimefungana bao 1-1 katika mchezo wa kundi D wa kuwania kombe la Mataifa ya Afrika, katika fainali zinazoendelea nchini Equatorial Guinea.
Katika mchezo huo Cameroon ndio waliokuwa wa kwanza kutikisa nyavu za wapinzani wao katika dakika ya 13 mfungaji akiwa ni Benjamin Moukandjo. 

Hata hivyo dakika chache kabla ya mpira kuwa mapumziko, mshambuliaji wa Mali, Ibrahima Traore allisawazishia timu yake. 

Hadi mwisho wa mchezo timu hizo zilitoka uwanjani zikiwa zimefungana bao 1-1.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni