.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 22 Januari 2015

BALOZI SEIF AAGANA NA MADAKTARI WA CHINA WANAOENDA LIKIZO KWA MUDA WA MWEZI MMOJA

Kiongozi wa Madaktari wa Kichina Dr. Liu Yaping akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi zawadi ya pambo la Ofisi wakati alipofika Ofisini kwa Balozi Vuga Mjini Zanzibar na Timu yake ya Madaktari kuaga wakirejea nyumbani kwa mapumziko ya mwezi mmoja kiusherehekea mwaka mpya wa Kichina. Pembeni kushoto ni mtapta wao Bibi Liu Hualian
Dr. Liu Yaping kiongozi wa Madaktari wa Kichina wanaotoa huduma za Afya Hospitali za Zanzibar ( kati kati ) akiwa sambamba na Mtapta wao Bibi Liu Hualian wakiagana na Balozi Seif mara baada ya mazungumzo yao wakiomba kurudi nyumbani kwa mapumziko ya mwaka Mpya.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na Madaktari bIngwa wa Kichina wanaotoa huduma za Afya Zanzibar.
Aliyepeana mkono yane ni Kiongozi wa Madaktari hao Dr. Liu Yaping, nyuma ya Balozi Seif ni Dr. Xia Jun, kulia ya Dr. Liu Yaping ni Dr. Sun Kewen na Dr. Huang Wenjie. Picha na – OMPR – ZNZ.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni