.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 22 Januari 2015

KAMATI YA BUNGE YA KILIMO, MAJI NA MIFUGO YATEMBELEA MIRADI YA MAJI WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA


Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Kilimo,Mifugo na Maji, Profesa Peter Msolla ( katikati ) akimsikiliza mkuu wa wilaya ya Kilolo, Ndugu Gerald Guninita kuhusu mradi maji Kijiji cha Kipaduka. Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla. 

Kamati ya Bunge ya Kilimo, mifugo na maji imefanya ziara mkoa wa Iringa kwa kutembelea miradi ya maji wilaya ya Kilolo na manispaa ya Iringa
Naibu Waziri wa Maji, Mh  Amos Makalla akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Ikuka-kilolo.
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla, akitoa maelezo ya mradi maji kijiji cha Mgongo na Nduli manispaa ya Iringa.  Kulia kwake ni mkuu wa mkoa Iringa, Mh Amina Masenza, na kushoto ni Mwenyekiti wa kamati ya Maji ya Bunge, Prof Peter Msola.

Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akihutubia wakazi kijiji cha Vitono- Kilolo.

Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Profesa Peter Msola akisalimiana na viongozi wa mji wa Ilula. Pembeni yake mwenye shati la mikono mirefu ni Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni