Watu wapatao 10 wamekufa baada ya
basi lililokuwa limewabeba wafungwa kumshinda dereva na kugongana na
treni Texas nchini Marekani.
Mkuu wa Kituo cha Polisi Mark
Donaldson amesema basi lilitereza na kuacha barabara kisha kugongana
na treni.
Maafisa wa Texas wamesema basi hilo
lilikuwa limebeba wafungwa 12, pamoja na maafisa watatu wa magereza
waliokuwa wakitokea gereza la Abilene kwenda gereza la El Paso.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni