.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 21 Januari 2015

BOKO HARAM WAJITAPA KUWA WALIFANYA MASHAMBULIZI YALIYOUWA WATU BAGA

Mtu anayejiita kiongozi wa Boko Haram, amesema katika video kuwa wapiganaji wake ndio walioendesha shambulio mbaya la mauaji ya watu katika mji wa Baga nchini Nigeria mapema mwezi huu.

Mtu huyo ambaye amesema kuwa yeye ni Abubakar Shekau amesema watu hao wameuwawa kama walivyoagizwa na mungu wao, na kutishia kufanya mashambulio zaidi.

Baadhi ya taarifa zinasema watu wapatao 2,000 wameuwawa katika mashambulizi yaliyofanyika Baga, hata hivyo serikali ya Nigeria inapinga na kusema waliokufa ni watu 150.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni