.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 21 Januari 2015

KAMATI YA BUNGE YA KILIMO, MAJI NA MIFUGO YAFANYA ZIARA MKOANI MOROGORO KUKAGUA MIRADI YA MAJI


Mwenyekiti wa kamati ya Bunge, Profesa Peter Msola ( wa kwanza kushoto ) akigaua mradi maji wa Mambogo manispaa ya Morogoro. Nyuma yake mwenye shati la vidoti doti ni Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla.

Kamati ya Kilimo, Maji na Mifugo ikiongozwa na mwenyekiti wake Profesa Peter Msola imefanya ziara mkoa wa Morogoro kwa kutembelea kijiji cha Fulwe, mradi wa maji wa Mambogo manispaa ya Morogoro na mradi maji Mikumi. 

Aidha tarehe 22 Januari ,2015 kamati itatembelea wilaya Kilolo na manispaa Iringa,  na 23 kamati litatembelea wilaya ya Rungwe.
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla ( kushoto) akiongea na mwenyekiti wa kamati ya Bunge, Profesa Peter Msola walipotembelea mradi maji Mikumi.
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akitoa maelekezo kwa mkandarasi katika mradi wa maji Mikumi.
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akiongea na waandishi wa vyombo vya habari wakati wa ziara hiyo.
Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akiongea na kamati ya Bunge na watendaji ofisi ya mkuu wa mkoa Morogoro.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni