.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 18 Januari 2015

CHEMCHEM YA MAJI YA GAWANI WETE YAFANYIWA MATENGENEZO

Mafundi wa mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA), Tawi la Pemba wakiwa katika harakati za kutengeneza chemchem ya maji gawani wete, iliyoingia mchanga hivi karibuni, ili kuweza kurudisha huduma za maji safi na lama kwa wananchi wa Wilaya ya Wete, iliyosimama kufuatia chemchem hiyo kuingia mchanga.

                                                                          (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni