MBUNGE WA CHALINZE, RIDHIWANI KIKWETE ASHIRIKI MAZIKO YA SALEHE MPWIMBWI
MBUNGE Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la Salehe Mpwimbwi aliyezikwa katika makaburi yaliyopo nje kidogo ya kijiji cha Miono. Mazishi yaliyofanyika juzi baada ya Mpwimbwi kupata ajali akiwa kwenye gari yake binafsi akitokea kijiji cha jirani kumpeleka mgonjwa ambapo njiani gari lake lilipasuka tairi na kupinduka
KAKA wa Rais Jakaya Kikwete, Selemani Kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la Salehe Mpwimbwi aliyezikwa katika makaburi yaliyopo nje kidogo ya kijiji cha Miono. Mazishi yaliyofanyika juzi baada ya Mpwimbwi kupata ajali akiwa kwenye gari yake binafsi akitokea kijiji cha jirani kumpeleka mgonjwa ambapo njiani gari lake lilipasuka tairi na kupinduka.PICHA NA OMARY SAID
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni