.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 12 Januari 2015

CROATIA YAPATA RAIS WA KWANZA MWANAMKE KATIKA UCHAGUZI MKUU

Mgombea urais wa chama cha upinzani Bi. Kolinda Grabar-Kitarovic amekuwa mwanamke wa kwanza kuwa rais wa Croatia, kwa kupata ushindi mdogo.

Bi. Kolinda amepata jumla ya asilimia 50.5 ya asilimia 99 za kura zilizohesabiwa, wakati rais aliyekuwa madarakani Ivo Josipovic akiwa nyuma kwa kura asilimia 49.5.

Bw. Josipovic amekubali kuwa ameshindwa katika kinyang'anyiro hicho cha urais na amempongeza mpinzani wake kwa ushindi aliopata.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni