.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 30 Januari 2015

JESHI LA CHAD LAWADHIBITI WAPIGANAJI WA BOKO HARAM

Jeshi la Chad, limewaondoa wapiganaji wa Boko Haram katika mji wa Malumfatori kaskazini mwa Nigeria.

Taarifa za kutwaliwa kwa mji huo, ambao upo katika mpaka wa Chad na Niger, zinafuatia siku mbili za mapigano.

Vikosi vyote vya Chad vya angani na aridhini vimeripotiwa kutumika kushambulia wapiganaji wa Boko Haram katika mapigano hayo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni