.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 21 Januari 2015

KAMANDA MWANZAMIZI WA LRA DOMINI ONGWEN AFIKISHWA THE HAGUE

Kamanda Mwandamizi wa waasi wa Uganda, Dominic Ongwen amewasili Jijini The Hague kukabiliana na makosa ya uhalifu wa kivita.

Ongwen, ambaye ni kamanda anayeogopwa wa waasi hao wa Lord's Resistance Army (LRA), alikuwa akishikiliwa na Marekani katika nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati mapema mwezi huu.

Nchi ya Uganda imekubali kuwa Ongwen ashtakiwe katika mahakama ya Kimataifa ya uhalifu (ICC), licha ya kuwa imekuwa mstari wa mbele wa kuikosoa mahakama hiyo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni