Kanisa Katoliki katika nchi ya
Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, limewaunga mgono waandamanaji
wanaopinga mpango utakaouongezea muda utawala wa rais Joseph Kabila.
Kanisa hilo limetaka kuwepo
maandamano ya amani kupinga mpango wa kumuongezea muda wa urais
Kabila hadi hapo litakapofanyika zoezi la sensa.
Katika maandamano hayo makubwa
kwenye Jiji la Kinshasa jumla ya watu 11 wameuwawa na vyombo vya
dola.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni