.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 19 Januari 2015

MALI YATANGAZA KUTOKUWA NA VIRUSI VYA UGONJWA WA EBOLA

Waziri wa Afya wa Mali amesema nchi hiyo sasa haina tena virusi vya Ebola, baada ya kupita siku 42 bila ya kuwa na tukio jipya la mgonjwa wa ugonjwa huo.

Waziri huyo Ousmane Kone amenukuliwa akisema kuwa anaitangaza siku ya jana kuwa ndio mwisho wa mlipuko wa Ebola nchini Mali.

Takwimu za hivi karibuni zinaonyesha nchi tatu za Afrika ya Magharibi zilizoathiriwa mno na Ebola matukio ya kesi mpya za wagonjwa yamepungua.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni