.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 19 Januari 2015

MAWAZIRI WA UMOJA WA ULAYA WAKUTANA HII LEO KUJADILI TISHIO LA UGAIDI

Mawaziri wa Umoja wa Ulaya watakutana hii leo kujadili tishio la ugaidi barani Ulaya, kufuatia mashambulio ya kigaidi.

Ulaya ipo katika tahadhari ya juu, baada ya jaribio la ugaidi lililoshindwa nchini Ubelgiji, na shambulio hatari Jijini Paris lililouwa watu 17.

Pia mawaziri hao watajikita katika kujadili uhusiano wa Ulaya na Urusi katika kujaribu kutafuta ufumbuzi wa mgawanyiko mkubwa wa serikali Ulaya kuhusina na namna ya kuichukulia nchi hiyo baada ya vitendo vyake dhidi ya Ukraine.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni