.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 18 Januari 2015

MAMILIONI WAKUSANYIKA KATIKA MISA YA WAZI ITAKAYOONGOZWA NA PAPA FRANCIS

Papa Francis atasherehekea misa ya wazi na mamilioni ya watu nchini Ufilipino katika Jiji la Manila.

Inakadiriwa watu milioni tatu, wameshakusanyika katika eneo la Rizal Park ikiwa ni saa mbili kabla ya misa hiyo kuanza.

Miaka 20 iliyopita zaidi ya watu milioni 5 walihudhuria misa iliyoongozwa na Papa John Paul II nchini humo.

Vatican imesema Papa Francis atatumia misa hiyo kuwaombea wahanga wa kimbunga Haiyan, ambacho kiliiathiri nchi hiyo mnamo mwaka 2013. 
 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni