.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 19 Januari 2015

MWANAJESHI DUME WA UINGEREZA AAMUA KUJIBADILI JINSIA NA KUWA MWANAMKE

Hannah Winterbourne, 27, mwanajeshi aliyezaliwa mwanaume na kutumikia jeshi la Uingereza kama mwanaume, sasa ameamua kujibadili jinsia na kuwa mwanamke.

Hannah aliamua kubadili jinsia na kuwa mwanamke wakati alipotembelea kambi ya Bastion nchini Afghanistan na kuamua kufanya upasuaji wa kubadili jinsia yake na kuwa mwanamke.

Kapteni huyo wa Kikosi cha Malkia ambaye ni Mhandisi wa Umeme na Makenika alianza kuishi kama mwanamke baada ya kurejea kwenye posti yake mpya huko Catterick Garrison in North Yorkshire. 
 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni