.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 21 Januari 2015

RAIS WA ZANZIBAR,DR. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA MADAKTARI KUTOKA UINGEREZA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein akifungua mkutano maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza, mkutano huo uliowashirikisha Madakatari Kutoka nchini Tanzania katika ukumbi wa Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja jana,[Picha na Ikulu]
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza wakimasikilizaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein alipokuwa akifungua mkutano huo uliofanyika jana katika ukumbi wa Breezes Hotel Bwejuu Mkoawa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu]
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza wakimasikilizaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein alipokuwa akifungua mkutano maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza uliofanyika jana katika ukumbi wa Breezes Hotel Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu]
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein alipokuwa akifungua mkutano maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza uliofanyika jana katika ukumbi wa Breezes Hotel Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni