Wapiganaji wa kundi la Boko Haram
wameshambulia mji muhimu wa kaskazini-mashariki wa Maiduguri, ambapo
makumi ya watu wameripotiwa kufa,
Mapema siku ya Jumapili, wapiganaji
hao wa Boko Haram walitwaa mji wa kaskazini-mashariki wa Monguno.
Wakati huo huo Waziri wa Mambo ya
Nje wa Marekani John Kerry, amewasili Nigeria, kutoa wito wa kutaka
kuwepo kwa uchaguzi wa amani wiki ijayo ambao unapaswa kuzingatia
viwango.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni