.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 26 Januari 2015

WATU WAPATAO 18 WAMEKUFA KATIKA MAPIGANO BAINI YA POLISI NA WAANDAMANAJI MISRI

Watu wapatao 18, wamekufa katika mapigano baini ya polisi na waandamanaji katika maeneo tofauti ya Misri.

Maafisa wa nchi hiyo wamesema miongoni mwa waliokufa ni maafisa polisi watatu, ambapo pia makumi ya waandamanaji pia wamejeruhuiwa.

Mapigano hayo yamefuatia kifo cha mwanaharakati katika maandamano katika Jiji la Cairo siku ya jumamosi.

Maandamano hayo yaliitishwa kuadhimisha miaka minne ya vuguvugu la nguvu ya umma iliyomuondoa madarakani rais Hosni Mubarak mwaka 2011.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni