Video imetolewa ikionyeshwa
kuchinjwa kwa raia Wamisri 21 wakristo ambao walitekwa na wapiganaji
wa kundi la dola ya Kiislam (IS) nchini Libya.
Picha hizo zinaonyesha kundi la
mateka hao wakiwa wamevalia overall za rangi ya machungwa,
wakilazimishwa kulala aridhini na kisha kukatwa vichwa vyao.
Wapiganaji wa kundi la IS
wameendesha mashambulizi kadhaa nchini Libya, ambayo yamewezekana
kutokana na kutokuwa na serikali madhubuti.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni