Mchezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya hatua ya 16 bora kati ya Shaktar Donetsk na Bayern Munich uliomalizika kwa timu hizo kushindwa kufungana, ulishuhudia kadi zikitawala ikiwa ni pamoja na mchezaji wa Bayern Munich Xabi Alonso akizawadiwa kadi nyekundu na mwamuzi wa mchezo huo, Alberto Undiano.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni