Mwili wa mtoto wa mwaka mmoja mwenye
ulemavu wa ngozi Yohana Bahati aliyeporwa juzi Mkoani Geita, umekutwa
jana jioni ukiwa umekatwa miguu na mikono yote na kufukiwa aridhini
kwenye hifadhi ya msitu wa Biharamulo, Wilayani Chato.
Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa
Polisi wa Mkoa wa Geita Joseph Konyo amesema mwili wa mtoto
huyo umebainika jana majira ya saa 12:30 jioni ukiwa umefukiwa kwenye
eneo ambalo linashamba la mahindi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni