Kundi la Dola ya Kiislam (IS)
limekubali wito wa kundi laNigeria la Boko Haram kutaka uhusiano na
kukubali kuwatii IS.
Katika sauti iliyorekodiwa msemaji
wa IS amenukuliwa akisema kuwa lengo la kutanua utawala wa dola ya
Kiislam limeongezeka na kufika Afrika ya Magharibi.
Wiki iliyopita Boko Haram walituma
kwa njia ya mtandao ujumbe unaotaka kuwepo ushirikianoa na kundi la
IS.
Boko Haram walianza harakati za
kutaka kushinikiza uwepo wa utawala wa Kiislana kaskazini mwa Nigeria
tangu mwaka 2009.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni