Kiu cha maji kimemponza Kangaroo
mmoja huko Coffin Bay kusini mwa Australia, baada ya kutumbukiza
kichwa kwenye chombo cha kunyunyuzia maji bustani na kushindwa
kukitoa.
Watu wakiwa katika zoezi la kujaribu kumnasua Kangaroo
Haikuwa kazi rahisi lakini baada ya jitihada za muda waliweza kumnasua Kangaroo huyo.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni