Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa kuendeleza Zao la Korosho Nchini Bw. Athuman Nkinde akizungumza na waandishi wa habari (hawapopichani) leo,Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa viwanda vitatu vya korosho katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga kati ya Mfuko huo na wataalamu washauri wakutoka Chuo Kikuu cha Ardhi cha Jijni Dar es Salaam na Shule ya Elimu ya Biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania ,Bw. Mundhir Mundhir na Katibu Mtendaji wa mfuko huo Bw. Suleiman Lenga
1. Mwadili wa Wanafunzi wa
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kitivyo cha Shule ya Elimu ya Biashara, Dkt.
Ulingeta Mbamba (kushoto) na Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Kuendeleza zao la
Korosho Nchini, Bw. Suleiman Lenga wa kionyesha mkataba wa ujenzi wa viwanda vitatu vya korosho katika Wilaya za Mtwara,
Tunduru na Mkuranga. Hafla hiyo ilifanyika leo. Jijini Dar es
Salaam.
Makamu Mkuu wa Chuo cha Ardhi cha Jijini Dar es Salaam, Prof. Gabriel Kassenga (kulia) na Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Kuendeleza zao la Korosho Nchini, Bw. Suleiman Lenga wakionyesha mkataba wa ujenzi wa viwanda vitatu vya korosho katika Wilaya za Mtwara, Tunduru na Mkuranga. Hafla hiyo ilifanyika leo Jumatano (Mei 6, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni