Viongozi wa siasa na wagombea nchini
Uingereza wanajaribu kutumia dakika za mwisho kutafuta kura katika
siku ya mwisho ya kampeni kabla ya zoezi la kupiga kura kuanza.
Waziri Mkuu wa Uingereza David
Cameron amesema kuwa taifa hilo lipo imara kuliko lilivyokuwa miaka
mitano iliyopita na kuna mambo zaidi ya kufanya.
Kura za maoni zinapendekeza kuwa
hakuna chama kitakachoshinda viti vya kutosha kuweza kuunda serikali
yake.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni