Benki Kuu ya China imeshusha thamani
ya fedha yake ya Yuan, katika kiwango cha chini dhidi ya dola ya
Marekani katika miaka mitatu.
Wakopeshaji wamesema uamuzi huo ni
miongoni mwa ushushaji thamani ya Yuan kwa asilimia 1.9, ili kufanya
kiwango cha soko la fedha za kigeni kuwa imara.
Taarifa za hatua hizo zimekuja
wakati kukiwepo kwa takwimu za kudororo uchumi wa taifa hilo ambalo
ni la pili kwa ukubwa kiuchumi duniani.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni