Picha za Facebook zimeibuka
zikionyesha papa mkubwa akiwa kwenye boti kubwa maili sana kutoka
kwenye fukwe ya Lennox Head nchini Australia, ambayo hutumika kwa
mchezo wa kusafu.
Picha hizo mbili za papa huyo mkubwa
mwenye urefu wa mita sita, zimeanza kusambazwa kwenye Facebook, na
inasemekana wavuvi waliomvua wamempelekwa kuhifadhiwa na mamlaka
husika.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni