Wanafunzi 7 wa shule ya St. Martin
iliyopo Kahuri, Murang'a nchini Kenya wamekufa maji wakati wakiogelea
kwenye fukwe ya bahari ya Pavilioni katika kaunti ya Diani Kwale.
Maafisa wa Chama cha Masalaba
Mwekundu nchini Kenya,na wazamiaji wamefanikiwa kuiopoa miili saba ya
wanafunzi hao jana jioni.
Wanafunzi hao wamekufa maji wakati
walipokuwa wanaogelea karibu na fukwe ya Bidi Badu Baa eneo la Diani.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni