Watu wapatao 26 hawajulikani walipo
baada ya maporomoko ya ardhi nchini China kaskazini mashariki mwa
mkoa wa Shaanxi.
Tope lenye ujazo wa mita mraba
milioni moja limefunika mabweni na nyumba za Kiwanda cha uchimbaji
madini cha Wuzhou katika kaunti ya Shanyang hii leo.
Maafisa wamesema watu 14 wameokolewa
katoa zoezi ambalo limekuwa likikwamishwa na mvua kubwa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni