Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mikono wananchi aqlipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabota.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akipanda jukwaani katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akisalimiana na Spika wa zamani wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta baada ya katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijadiliana jambo na mgombea ubunge Jimbo Nzega Vijijini, Hussein Bashe (katikati) na Mgombea ubunge Jimbo la Nzega Vijijini, Dk Khamis Kigangwalah wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Parking mjini Nzega Tabora.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwanadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo Nzega Vijijini, Hussein Bashe (kushoto) na Mgombea ubunge Jimbo la Nzega Vijijini, Dk Khamis Kigangwalah wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Parking mjini Nzega Tabora
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni